Our Terms of Use and Privacy Policy have changed. We think you'll like them better this way.

AKISHULI ABDALLAH: Idhaa ya Kiswahili ya Radio itahuka 01/11/2014

  • Broadcast in Politics Progressive
RadioItahuka

RadioItahuka

×  

Follow This Show

If you liked this show, you should follow RadioItahuka.
h:284593
s:5928955
archived

AKISHULI ABDALLAH: Idhaa ya Kiswahili ya Radio itahuka Radio Impala na Radio Gasabo leo juma mosi tarehe ya 11 januari 2014 mnamo saa mbili za jioni majira ya nchi za afrika ya mashariki yaani saa moja kamili majira ya Kigali ,Bujumbura na Mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokarasiya ya Congo Idhaa ya kiswahili Imewatayarishiya kipindi cha wiki kama kawayida yake Tutazungumziya maada ifutao:
KIFO CHA KANAL PATRIKCK KAREGEYA KINAENDELEA KUZUSHA UBISHI NA FIKIRA MBALI MBALI KUTOKA UPANDE WA SERIKALI YA KIGALI NA KUTOKA UPANDE WA WAKIMBIZI WA KINYARWANDA

Comments