Our Terms of Use and Privacy Policy have changed. We think you'll like them better this way.

AKISHULI ABDALLAH : IDHAA YA KISWAHILI 28/12/2013

  • Broadcast in Politics Progressive
RadioItahuka

RadioItahuka

×  

Follow This Show

If you liked this show, you should follow RadioItahuka.
h:284593
s:5856279
archived

 

  • AKISHULI ABDALLAH: Idhaa ya Kiswahili ya Radio itahuka inayo furaha ya kuwatangaziya kwamba leo juma mosi tarehe 28 decemba mnamo saa mbili za jioni majira ya nchi za afrika ya mashariki yaani saa moja kamili majira ya Kigali ,Bujumbura na Mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokarasiya ya Congo Radio itahuka Imewatayarishiya Kipindi cha kisiasa kwenye lugha ya kiswahili. Kipindi hiki kinaandaliwa na kuletwa kwenu na mtangazaji wa kimatayifa Bwana AKISHULI ABDALLAH Tutazungumziya maada zifutazo 1. TUTAZUNGUMZA NA KUCHUNGUZA KWA UNDANI KUHUSU MPANGO ULIYO PACHIKWA JINA LA « NDI UMUMUNYARWANDA » (MIMI NI MNYARWANDA) ILI TU 2. SHEREHE YA KUMBUKUMBU KWA WATUSI WALIOUWAWA MWAKA 1959 AMBAYO IMEFANYIKA JANA TAREHE 27 DESEMBA 2013 Wasikilizaji nyote mnakaribishwa kwa kutowa mchango wenu wa kimawazo mkitumiya namba ifutayo : 0013479456449

Comments