Our Terms of Use and Privacy Policy have changed. We think you'll like them better this way.

MABOMU YALIPUKA GONGO TZ NA MAHOJIANO NA ADAN BASHIR MWANDISHI SHUPAVU.

  • Broadcast in Social Networking
Denzel Musumba

Denzel Musumba

×  

Follow This Show

If you liked this show, you should follow Denzel Musumba.
h:106267
s:1492648
archived
Mabomu yalipuka kambi ya jeshi Tanzania Wakazi wa eneo karibu na kambi ya jeshi la Gongo la Mboto wameondoka katika nyumba zao kujiepusha na athari za milipukoMabomu yamelipuka mfululizo Jumatano usiku katika kambi ya jeshi la Tanzania, Gongo la Mboto, kilomita chache kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar es Salaam. Hakuna ripoti rasmi kutoka serikali ya Tanzania wala madhara yaliyotokana na milipuko hiyo. Kulingana na wakazi wa karibu na eneo la Gongo la Mboto milipuko hiyo ilianza kiasi cha saa mbili na dakika 35 Jumatano usiku na ilikuwa inaendelea mfululizo hadi karibu saa tano usiku. Wakazi wengi wa maeneo ya jirani wamekimbia nyumba zao kujiepusha na athari za milipuko hiyo. Milipuko kama hiyo ilitokea katika kambi ya jeshi ya Mbagala mjini Dar es Salaam Aprili 9, 2009 ambapo watu 26 walikufa na wengine 636 kujeruhiwa. Watu zaidi ya elfu tisa walipoteza makazi yao katika milipuko ya Mbagala. Wakazi wa eneo karibu na Gongo la Mboto wanasema huenda milipuko hii ni mikubwa kuliko ile ya Mbagala. GUESTS BIOGRAPHY-Abdul Adan is a young, upcoming writer of Somali origin. He grew up in Kenya, where he recieved his primary and secondary education. A strong fan of the Short Story form, his first piece of fiction appeared in African-Writing magazine's 9th issue. He has since contributed fiction to Kwani? magazine, Storytime, and to the latest issue of African-Writing Magazine, (AW11). Adan believes his writings, homourous or not, are aimed at finding faults or goodness among individuals, so that they may reflect on themselves. He admires objectivity in fiction. He is a reader of Naipaul, Achebe, and of classical writers such as Chekhov and Maupassant.

Comments