Our Terms of Use and Privacy Policy have changed. We think you'll like them better this way.

AKISHULI ABDALLAH: Idhaa ya Kiswahili ya Radio itahuka 17/01/2014

  • Broadcast in Politics Progressive
RadioItahuka

RadioItahuka

×  

Follow This Show

If you liked this show, you should follow RadioItahuka.
h:284593
s:5954193
archived

AKISHULI ABDALLAH: Idhaa ya Kiswahili ya Radio itahuka inayo furaha ya kuwatangaziya kwamba leo juma mosi tarehe 18 januari 2014 mnamo saa mbili za jioni majira ya nchi za afrika ya mashariki yaani saa moja kamili majira ya Kigali ,Bujumbura na Mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokarasiya ya Congo Radio itahuka Imewatayarishiya Kipindi cha kisiasa kwenye lugha ya kiswahili. Kipindi hiki kinaandaliwa na kuletwa kwenu na mtangazaji wa kimatayifa Bwana AKISHULI ABDALLAH Tutazungumziya maada zifutazo TUTAZUNGUMZA NA KUCHUNGUZA KWA UNDANI KUHUSU kauli ya diktetaPaul Kagame wa Rwanda ambaye amekula kiapo cha kuwajeruhi vibaya na kuwaangamiza wa navyama vya upinzani kwa kile alicho kidai kulinda tayifa lake

Comments