Our Terms of Use and Privacy Policy have changed. We think you'll like them better this way.

ABDALLAH AKISHULI: RADIO ITAHUKA YAANZA IDHAA YA KISWAHILI

  • Broadcast in Politics Progressive
RadioItahuka

RadioItahuka

×  

Follow This Show

If you liked this show, you should follow RadioItahuka.
h:284593
s:5836923
archived

RADIO ITAHUKA YAANZA IDHAA YA KISWAHILI Siku ya Leo jumaa mosi tarehe 21 decemba mwaka 2013 mnamo saa mbili za jioni saa za afrika ya mashariki yaani saa moja kamili saa za Kigali ,Bujumbura na Mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokarasiya ya Congo RADIO ITAHUKA itaanza rasmi vipindi vyake kwenye lugha ya kiswahili ili wasikilizaji wote wa kanda ya maziwa makuu na Afrika ya mashariki na kuingineko ambao si wazungumzaji wa lugha ya kinyarwanda waweze kufuata vipindi vyetu bila matatizo yoyote ya kilugha. Kipindi hiki kinaandaliwa na kuletwa kwenu na mtangazaji wa kimatayifa Bwana AKISHULI ABDALLAH Tutazungumziya maada zifutazo 1. Unyanyasaji na ukiukaji wa sheria unaomkabili mwanasiasa wa kike Bii ingabire Victoire Umuhoza ambae kwa sasa yupo jela bila hatia yeyote 2. Kagame atua ghafla Afrika ya kusini,aaga mwili wa mzee Mandela na kuondoka bila kuaga. 3. Mda ukiruhusu tutawasomeya baadhi ya magazeti ya Tanzania anayo andika habari zinazohusiana na nchi ya Rwanda. Tunawakalibisha wazungumzaji wa kiswahili nyote kushirikiyana nasi kati ka kipindi hiki. Mtangazaji wenu AKISHULI ABDALLAH

Comments